TANZANIA WORSHIP EXPERIENCE

TANZANIA WORSHIP EXPERIENCE
Tanzania worship experience is a tittle for a program which aim at finding gifted, talented , available and teachable worshipers so as to revaitalise the worship experience in Tanzania.

ADMINISTRATION AND FOUNDER OF TANZANIA WORSHIP EXPERIENCE WORD OF GOD TO STANDWITH

SCRIPTURE TO STANDWITH: 


John 4:24, “God is Spirit and seeks for those who worship Him in the Spirit and Truth……” 

Tanzania worship experience is a team of five persons who had this vision since 2005 pioneered by Billionaire Festo Mkeu, the Managing Director of Universal Ink, the company in charge of undertaking all activities pertaining to Tanzania Worship experience team. The five are; Biliionaire Festo Mkeu (the visionary); Pastor Charles Kuya Mbogoma, Spiritual Guardian/accountant; Mosses Makaranga, Chairman of the team; Emmanuel Mabisa, Music Director; Rulea Sanga, IT consultant and Mr. Nasobile, logistic. Eventually the vision came to pass May 2012.

Friday, June 15, 2012

Thursday, June 14, 2012

KIKAO CHA TANO CHA TANZANIA WORSHIP EXPERIENCE CHAFANYIKA MLIMANI CITY SIKU YA JANA
Hapa ni katika hotel ya The Atriums ambapo mashindano hufanyiaka

Tanzania Worship Experience ni project iliyojikita kutafuta waimbaji wa nyimbo za injili hasa  upande wa waabudishaji ( wanaoimba nyimbo za kuabudu). Project hii imeshamaliza hatua ya kwanza ambapo ilikuwa inatafuta watu 9 kutoka katika kila wilaya za mkoa wa Dar es Salaam ambazo ni Ilala, Temeke na Kinondoni. Mpaka sasa wameshapatikana washindi 24. Siku ya Jumamosi kutakuwa na mchakato wa kuwachuja wale 24 na kubaki na washindi 14, na hili zoezi litaendelea wiki zinazofuata mpaka siku ya mwisho kuwapata washindi watatu.

Katika kikao hicho kilichofanyika Mlimani City kilizungumzia hasa jinsi mambo yatakavyokuwa siku ya Jumamosi ya wiki ijalo.

TANZANIA WORSHIP EXPERIENCE inawaomba Watanzania kuhudhuria katika siku hiyo ya Jumamosi na kushiriki katika upigaji kura, na  mtatangaziwa jinsi ya kupiga kura kwa kupitia mitandao mbalimbali na vyombo vyombo vya habari. Zoezi zima litafanyoika katika hoteli ya The Atriums Sinza Afrikasana kuanzia saa 3:00 asubuhi.

Lengo la project ni kumuinua Mungu kwa njia ya uimbaji wa nyimbo za kuabudu


Rulea Sanga ni IT Manager kayika project ya hii TWE na ndiye anayesambaza habari za Tanzania Worship Experience katika mitandao mbalimbali


Kulia ni Nasobile (Logistics), Mchungaji Charles Mbogoma na Jaji Emmanuel Mabisa

Upande wa kulia ni mwenyekiti wa TWE, Bwana Makaranga

..Wa pili kutoka kulia ndiye mwanzilishi na mbeba maono ya TWE, Bwana Billionaire
Saturday, June 9, 2012

TANZANIA WORSHIP EXPERIENCE YAZIDI KUPAA JUU KWA KUTAFUTA WAABUDUAJI

Kama kawaida leo Katika katika Hotel Ya Atriums maeneo Ya Sinza Africasana limefanyika tena shindano la Kusaka Kipaji Cha Mwabudishaji katika Wilaya ya Ilala na Temeke na Washindi 18 wamepatikana 9 kutoka wilaya ya Ilala na 9 kutoka Temeke.

Blog ilikuwepo kuwasilisha kama Kawaida.

(KUMBUKA: Bango la limetengenezwa na Rulea Sanga +255 715 85 15 23 | www.rumaafrica.blogspot.com | rumatz2011@yahoo.com)

KUTOKELEA KABLA YA SHOW

Mbeba Maono ya Worship Experience na Main Sponsor a.k.a Bilionea akiwa na Judge wa Kiume

KIPINDI CHA KUJISAJILI
 Mwenyekiti, Makaranga wa pili kulia akihakikisha majina kama yako sawa
Usajili unaendelea

 Dada Mligo ni mlemavu wa macho akipelekwa kujisajili


Kupitia TWE watu walijuana majina

Washiriki Wakisalimiana

Watu wakiwa Wanahojiwa

Mchungaji  Charles Mbogoma akisalimia na waabuduo wa baadae
MAOMBEZI YA KUFUNGUA MCHAKATO

Mch Mbogama akiwa katika maombi
 
BLOGGERZ

 
Blogger Akiwa anawasili eneo la tukio Ku run show nzima
Uncle Jimmy kulia na Rulea Sanga
Sam Sasali (Papaa)
Blogger Rulea akiwa Kikazi zaidi

Full sun gogosiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Kambi Popote Mwana Blogger akiwa kazini

CAMERA MAN

Kamera Man akiwa Kikazi zaidi

MC

 Papaa Ze Blogger aki run show


KIPINDI CHA KUTAFUTA WAABUDUO

Ma Judge kushoto ni Angela Benard akiongea, Emmanuel Mabisa, Happiness na Lwiza
Emmanuel Mabisa akiongea kama Judge leo kwenye event.


Mshiriki Namba 1 akishiriki huyu alivuka round


Mshiriki namba 2 huyu hakuvuka


Happiness aki Jusge, Lwiza akisikiliza, Mabisa na Angela wakiandika

Washiriki Wakisikiliza Maelezo.mlemavu wa macho

TWE POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...