TANZANIA WORSHIP EXPERIENCE KUMPATA MSHINDI WA "KUABUDISHA" KATIKA HOTEL YA THE ATRIUMS SINZA AFRIKASANA SIKU YA JUMAMOSI 26 MEI 2012
Zoezi hili limeanza saa tatu ya siku ya leo kuwatafuta washindi wa uimbaji wa nyimbo za kuabudu za dini katika wilaya ya kinondoni. Washiriki wako 36 na wanatoka katika makanisa tofauti tofauti ya Kikristo Tanzania.
Baada ya kumalizika zoezi hili litahamia wilaya zingine za mkoa wa Dar es Salaam (Ilala na Temeke). Mahali patakuwa The Atriums Hotel sinza Afrikasana
Mchungaji Charles Mbogoma (kulia) akiwa kazini
Stage kwaajili ya waimbaji
Mtoto na mchungaji wa Mchungaji Mbogoma akilifunga banner
Kazi ya Mungu inasonga na wale wampendao
Blogger na Design, Rulea Sanga akikurushia matukio. Kumbuka hilo bango ndiye aliyelitengeneza..Ukiwa na kazi yoyote ya design unaweza kukutana nami kwa +255 715 85 15 23
Blogger Samsasali akitupia vitu katika blog yake ya www.samsasali.blogspot.com
Mwenyekiti Makaranga akiwaandikisha washiriki
Mchungaji Charles Mbogoma (kushoto) akifuatilia uandikishaji
Washiriki
Mwenyekiti Makaranga akigawa kadi za washiriki
Katibu wa TWE, Nasobile
ZOEZI LIMEANZA LA KUSAKA WAABUDISHAJI
Judges
Upendo Joseph
Mbeba maono ya Tanzania Worship Experience, Billionaire kulia
Sulemani Ahungu namba 31
Moneila Rafael namba 30
Glory Kameta namba 28
Tumbo joto kwa washiriki
MC Sam Sasali akiwa anawatoa presha washiriki
MC Sam Sasali akiwapa tiba ya hofu kwa kuwachekesha washiriki, lakini mioyo yao ni migumu.
Washiriki wakiwa katika kiti moto..
Katibu wa TWE, Nasobile akirekebisha muziki
Mshiriki
Judges wakiwa kazini, kutoka kushoto ni Jessica Honnore, Emmanuel Mabisa
Washiriki
MSHINDI WA TANZANIA WORSHIP EXPERIENCE UEPENDO JOSEPH KUTOKA WILAYA YA KINNDONI AMSHUKURU MUNGU WAKE KWA USHINDI
Washiriki walioshiriki katika mchakato huu ni kutoka wilaya ya kinondoni, na idadi ya wshiriki walikuwa 36.
Upendo Jose