TANZANIA WORSHIP EXPERIENCE

TANZANIA WORSHIP EXPERIENCE
Tanzania worship experience is a tittle for a program which aim at finding gifted, talented , available and teachable worshipers so as to revaitalise the worship experience in Tanzania.

ADMINISTRATION AND FOUNDER OF TANZANIA WORSHIP EXPERIENCE WORD OF GOD TO STANDWITH

SCRIPTURE TO STANDWITH: 


John 4:24, “God is Spirit and seeks for those who worship Him in the Spirit and Truth……” 

Tanzania worship experience is a team of five persons who had this vision since 2005 pioneered by Billionaire Festo Mkeu, the Managing Director of Universal Ink, the company in charge of undertaking all activities pertaining to Tanzania Worship experience team. The five are; Biliionaire Festo Mkeu (the visionary); Pastor Charles Kuya Mbogoma, Spiritual Guardian/accountant; Mosses Makaranga, Chairman of the team; Emmanuel Mabisa, Music Director; Rulea Sanga, IT consultant and Mr. Nasobile, logistic. Eventually the vision came to pass May 2012.

ADMINISTRATION

BILLIONAIRE J. MKEU

Mtumishi huyu ni mwanamuziki na "Producer" wa nyimbo za injili nchini Tanzania. Mpaka sasa ameshatoa nyimbo zake kama shuka,sina makosa. Amesomea muziki katika Chuo Kikuu Cha Darr es Salaam.

Mbali ni muziki ni mjasiliamari ambaye anajishughulisha na Graphic design katika kampuni yake inayoitwa Universal Ink iliyoko Dar es Salaam Tanzania

Unaweza kuwasilina naye:

UNIVERSAL INK
Head Office, Posta ( Samora & Morogoro rd.)
Makangira Road, Plot 25 Sinza A,
P.O.Box 2019 Dar es Salaam
Mob: +255 22 2993514 | +255 753 238947 | +255 716 286 355
Email : info@makerzltd.com
Web : www.makerzltd.co
Blog: www.tanzaniaworshipexperience.blogspot.com

RULEA SANGA
Mtumishi huyu ana kazi nyingi lakini baadhi ya kazi anazofanya ni Graphic Designer, meneja masoko katika kikundi cha Glorious Celebration, Blogger. Katika "Tanzania Worship Experience" ni mtalaamu wa mambo ya IT. Amebahatika kusoma katika vyuo mbalimbali nchini Tanzania. Elimu yake ya kompyuta amesoma katika chuo cha Information Technology na elimu yake ya Hifadhi ya Jamii amesoma katika Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM).

Mungu amempa karama ya pekee katika timu hii ya Tanzania Worship Experience ambapo anafanya kazi kama mtalamu wa IT na kuhakikisha habari zote zinahifadhiwa na kusambazwa katika mitandao mbalimbali.

Na la mwisho, ndiye aliyeitengeza blogu hii. Unaweza kuwasiliana naye kwa

Simu: +255 715 85 15 23
Barua pepe: rumatz@yahoo.com

MCHUNGAJI CHARLES MBOGOMA
Katika program hii kuna mchungaji ambaye anasimamia kazi zote zinazohusiana na Neno la Mungu na kuhakikisha kuwa kila jambo linafanyika kwa kuvuata taratibu na sheria za Mungu za Mungu.
Mchungaji Charles Nbogoma ni mchugaji wa kanisala Faith Enrichment Ministries International

NASOBILE
Mtumishi Nasobile ni Katibu Mkuu na ni mtalaamu wa mambo ya "Logistic" katika program hii ambaye huhakikisha kila jambo linalozungumziwa na wajumbe linatekelezwa kwa wakati unaotakiwa bila ya kuvunja sheria na taratibu zilizowekwa na wajumbe.

EMMANUEL MABISA
Mtumishi huyu katika programu ya "Tanzania Worship Experience" ni mtalaamu wa muziki. Mbali na hapo ni kiongozi wa Muziki katika kikundi cha Glorious Celebration kilichoko Dar es Salaam. Emmanuel Mabisa amesomea muziki hasa katika maswala ya upigaji gitaa na uimbaji.

Unaweza kuwasiliana naye
Simu: +255 717 02 53 28
Barua pepe: mabisatz@yahoo.com
Blogu: www.mabisatz.blogspot.com
Blogu: www.rumaafrica.blogspot.com

MOSES MAKALANGA
Mtumishi Moses ni mwenyekiti katika timu hii na ni Mwenyekiti wa timu. Mbali na hayo ni mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Tanzania

Unaweza kuwasilina naye
Simu: +255 653 71 28 00
Barua pepe: moses_makalanga@yahoo.com


No comments:

Post a Comment

TWE POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...